Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix
Antoine Tshisekedi Tshilombo mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 2 Jijini Dar es Salaam
tarehe 23 Oktoba, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimtambulisha viongozi mbalimbali Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix
Antoine Tshisekedi Tshilombo, baada ya kumpokea katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 2 Jijini Dar es Salaam
tarehe 23 Oktoba, 2022.Rais wa jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix
Antoine Tshisekedi Tshilombo akikagua gwarde lililoandaliwa kwa heshima zake.
Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo wakitazama burudani ya ngoma za asili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi baada ya kumpokea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu).







No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇