LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 19, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MALIKIA WA UHOLANZI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa baada ya mazungumzo yake na Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Oktoba, 2022.
Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo, akisisitiza jambo kwa Rais Samia wakati wa mazungumzo na Waandishi wa Habari, baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo, baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Oktoba, 2022.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages