LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 12, 2022

RAIS DK. MWINYI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MTAWALA WA OMANI, NCHINI HUMO, LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi,  akiwa katika siku ya pili ya ziara ya Oman, leo mapema asubuhi amekutana na Mtawala wa Oman Mhe. Sultan Haitham bin Tariq.  

Mazungumzo hayo yalifanyika katika Kasri hili la Sultani la Al Barakah

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages