LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 17, 2022

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO KATIKA MSIBA WA DADA WA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Philip Mpango akimfariji Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, kufuatia kifo cha Dada yake Bi. Grace Makalla mara baada ya kuwasili kushiriki msiba huo katika Kijiji cha Kidudwe Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, leo.
 
Makamu wa Rais akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba huo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages