LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 18, 2022

MAJALIWA AKERWA NA UBOVU WA MILANGO HOSPITALI YA WILAYA YA NAMTUMBO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha kukerwa  na mlango mbovu uliowekwa kwenye chumba cha upasuaji wakati alipokagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022. Aliagiza milango mibovu  iondolewe na iwekwe milango yenye ubora unaokubalika. Kulia ni Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dkt. Christopher Wabwarumi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa (kulia) wakisalimiana na viongozi wa mkoa wa Ruvuma wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea kwa ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Jenista Mhagama, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma, Odo Mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,  Kanali Laban Thomas. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages