Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania, Profesa Keneth Bengesi akizungumza na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Oktoba 25, 2022, kuhusu utekelezaji wa majukumu yao amesema kuwa ndani ya miaka miwili ijayo Tanzania haitakuwa na uhaba wa sukari kutokana na ongezeko la uzalishaji wa sukari hadi kufikia zaidi ya tani 700, kufuatia ongezeko la viwanda vya bidhaa hiyo nchini.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, zZamaradi Kawawa akitoa neno la kuhitimisha mkutano huo.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa kazini wakati wa mkutano huo
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi Mkuu Profesa Bengesi akielezea mafanikio hayo...
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇