LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 28, 2022

BODI YA NYAMA: TAIFA LIMEPATA ZAIDI YA SH. BIL. 90 KUUZA NYAMA NJE YA NCHI+video

 

Msajili Bodi ya Nyama Tanzania, Dkt Daniel Mushi akizungumza wakati wa mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma Oktoba 28, 2022, kuhusu utekelezaji wa majukumu yao pamoja na vipaumbele  kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Mushi amesema kuwa Tanzania kwa mwaka 2021/22 imeuza nje ya nchi kilo milioni kumi za nyama na kuliingizia taifa zaidi ya sh. bil. 90. Amewakaribisha wawekezaji katika sekta ya nyama.


Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia kwa makini wakati wa mkutano huo.







Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa  akitoa neno la shukrani alipokuwa akihitimisha mkutano huo.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Mushi akielezea kuhusu mafanikio hayo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages