LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 1, 2022

WAZIRI JAFFO: TANZANIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA MATAIFA MBALIMBALI MAPAMBANO DHIDI YA MABADILIKO YA TAIBIANCHI+video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Seleman Jaffo amefungua mkutano wa kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo jijini Dar es Salaam Septemba Mosi, 2022 na kueleza kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali katika mapambano dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi.
Barozi wa Uingereza nchini, David Concar akielezea umuhimu wa mataifa kuungana katika mapambano ya mabadiliko ya tabianchi.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mary Maganga akisema neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha, Selemani Jaffo kufungungua mkutano huo kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dkt Isidor Mpango.
Baashi ya washiriki kutoka nchi 20 duniani.






Jaffo akijadiliana jambo na Balozi wa Uingereza nchini, David Concar

 Balozi wa Uingereza nchini, Concar akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamis Chillo.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Jaffo, Balozi Concar na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Zanzibar wakielezea umuhimu wa mkutano huo.....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages