LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 6, 2022

WAFANYAKAZI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI (MNH) WAMPONGEZA MFANYAZI KWA KUSTAAFU KWA MUJIBU WA SHERIA

Pichani ni Mstaafu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Mkuu wa Wodi. Afisa Muuguzi Beatha Minga. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
  Meneja wa jengo la Wazazi namba 2 Hospitali yaTaifa Muhimbili Sister Praxeda Chenya (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mstaafu wa Hospitali hiyo Mkuu wa Wodi. Afisa Muuguzi Beatha Minga leo Septemba 6, 2022 wakati walipokuwa katika Sherehe fupi ya kumpongeza kwa kustaaafu. Chenya alianza kwa kusema.


Napenda kumshukuru Munguwa kwa ajili ya siku ya leo tukiwa tunampongeza mwenzetu kwa hatua aliyofikia na mimi na Wauguzi wenzangu tunazidi kumuombea kwa Mungu pia apokee salam kutoka kwa Uongozi kuanzia Mkurugenzi Mtendaji  Prof. Lawrence Museru na Mkurugenzi wa Uuguzi Sister Zuhura Mawona wanampongeza na wanamtakia maisha mema alisema Chenya.


  Keki
  Mkunga  Mbobezi Hospitali ya Taifa Muhimbili Magdalena Haule na Muuguzi Msaidizi Hospitali hiyo Jamila Kassim wakimkabidhi Keki Mkuu wa Wodi. Afisa Muuguzi Beatha Minga leo Septemba 6, 2022 wakati walipokuwa wakimpongeza katika Sherehe fupi ya kumpongeza kwa kustaaafu iliyofanyika Wodini hapo.
 Mkuu wa Wodi. Afisa Muuguzi Beatha Minga (wa sita kushoto mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi Hospitali hiyo leo Septemba 6, 2022 wakati walipokuwa katika Sherehe fupi ya kumpongeza kwa kustaaafu.
 Mkuu wa Wodi. Afisa Muuguzi Beatha Minga (wa sita kushoto mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi Wodi ya Wazazi namba 2 Hospitali hiyo leo Septemba 6, 2022 wakati walipokuwa katika Sherehe fupi ya kumpongeza kwa kustaaafu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages