LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 18, 2022

SPIKA DKT TULIA AIFAGILIA NMB KUFANIKISHA BONANZA LA KIVUMBI NA JASHO+video

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson ameipongeza Benki ya NMB kwa kuandaa vyema Bonanza la michezo la NMB la Kivumbi na Jasho lililoshindanisha timu za Bunge Sports na NMB Kkwenye viwanja vya Chinangali Park na Kilimani jijini Dodoma Septemba 17, 2022. Pongezi hizo amezitoa wakati wa mchapalo uliofanyika usiku kwenye viwanja vya Chinangali Park ambapo pia aliipongeza timu ya Yanga kwa kufanikiwa kuingia raundi ya kwanza ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuichapa Zalan ya Sudani kusini jumla ya mabao 9 kwa nunge. Dkt Tulia anayejipambanua kuwa shabiki wa Simba aliwaongoza wabunge kucheza wimbo maalumu wa kuifagilia Yanga.




PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,  Spika Tulia akiifagilia NMB....
 

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages