LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 19, 2022

RIDHIWANI KIKWETE: SERIKALI INA MPANGO WA KUHUISHA UPYA RAMANI YA SURA YA NCHI+video

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete ametangaza bungeni leo Septemba 19, 2022, kwamba serikali imepanga kuhuisha upya ramani ya sura ya nchi yetu kuendana na mabadiliko yaliyopo.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ridhiwani akielezea mpango huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages