Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kuweka shada la Maua katika
eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi ya Msumbiji (Mozambican Heroes’
Square) lililopo Maputo nchini humo tarehe 21 Septemba, 2022. Mhe. Rais
Samia aliweka Shada hilo kwa Heshima ya kuwakumbuka Mashujaa wa Msumbiji
akiwemo Rais wa Kwanza wa Nchi hiyo Hayati Samora MachelRais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma kumbukumbu ilivyoandikwa baada ya kuweka shada la Maua katika
eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi ya Msumbiji (Mozambican Heroes’
Square) lililopo Maputo nchini humo tarehe 21 Septemba, 2022. Mhe. Rais
Samia aliweka Shada hilo kwa Heshima ya kuwakumbuka Mashujaa wa Msumbiji
akiwemo Rais wa Kwanza wa Nchi hiyo Hayati Samora MachelRais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi vya ngoma za asili za
Msumbiji wakati akitoka kuweka shada la maua kwenye eneo la Kumbukumbu ya
Mashujaa wa nchi hiyo (Mozambican Heroes’ Square) lililopo Maputo tarehe
21 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Mji wa Maputo
mara baada ya kutembelea Kituo cha uzalishaji wa Nishati ya Umeme nchini Msumbiji
tarehe 21 Septemba, 2022.
Your Ad Spot
Sep 22, 2022
RAIS SAMIA AZURU 'ALIPOLALA' RAIS WA KWANZA WA MSUMBIJI HAYATI SAMORA MACHEL
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About Author CCM Blog
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇