LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 17, 2022

RAIS SAMIA AWASILI JIJINI LONDON, UINGEREZA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akizungumza na Meakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi wa Tanzania nchini humo Dkt. Asha-Rose Migiro, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Luton leoa Septemba 17, 2022 kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza yatakayofanyika Septemba 19. 2022 Jijini London. 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages