LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 10, 2022

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MAHAKAMA YA UN NA MAJAJI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Iman D. Aboud pamoja na Ujumbe wake baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages