LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 27, 2022

NGEMELA LUBINGA AMTEMBELEA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI




MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga,  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed Seif, Ofisa wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Viatory Kazana Mnyaga, wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji, Mh. Phaustine Kasike (aliyevaa suti) walipotembelea ofisi za Ubalozi huo wiki hii.


Kanali Lubinga na Mwenyekiti Ndg. Shemsa Mohamed walikuwa ni miongoni mwa viongozi waliofuatana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, aliyekuwa ziarani nchini Msumbiji.



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages