LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 15, 2022

MHAGAMA AMPONGEZA RAIS SAMIA KURUHUSU MUSWADA WA WATUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA KUWA MAHABUSU INAYOJITEGEMEA+video

 


 Mbunge wa Madaba ambaye pia ni ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Dkt Joseph Mhagama akichangia hoja ya mabadiliko ya muswada wa kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya bungeni Dodoma Septemba 14,2022, amesema kuwa mapambano dhidi ya mtandao wa biashara ya dawa za kulevya ni ngumu kwani inahitaji umahususi, umakini, utaalam, ujuzi na nyenzo za kisasa ili kufanikisha.

Aidha amempongeza Rais kuruhusu serikali kupeleka muswada bungeni ili sheria ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya iruhusu Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya iwe na mahabusu ya kwao badala ya kutegemea ya polisi.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Mhagama akitoa mchango wake huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages