LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 15, 2022

KOROGWE YAPOKEA ZAIDI YA SH. MIL. 790 ZA MRADI WA MAJI+video



Wilaya ya Korogwe imepokea zaidi ya sh.  million 790 kwa ajili ya mradi wa maji katika vijiji vya Mgombero na mapangoni

Akithibitisha kupokea fedha hizo Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Basila Mwanukuzi amesema mradi huo utakapokamilika utawanufaidha zaidi ya wakazi 4128 kwa kupata maji safi na salama

Aidhaa Mkuu huyo wa Wilaya akiwahutubia wanavijiji hai alisema mkandarasi ameshapatikana na amesaini mkataba tayari kuanza kazi mara moja na anatarajiwa kukamilisha ndani ya muda unaotakiwa

Baadhi ya wakinamama walimshukuru Mkuu huyo kuleta taarifa ya kero zao zilizokiwa zinawakabili ikiwemo hiyo ya maji ilyowachukulia muda wao mwingi kusaka maji kwa ajili ya familia zao




 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages