LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 13, 2022

GENZABUKE ATAKA SERIKALI KUIGAWA KATA YENYE WATU WENGI KASULU+video

 


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kigoma, Josephine Genzabuke ameiomba serikali bungeni kuigawa kata yenye watu wengi wilayani Kasulu.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Genzabuke akitoa ombi hilo kwa serikali....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages