LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 13, 2022

BALOZI WA TANZANIA NCHINI INDONESIA BALOZI TEMBELE AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO, LEO

Balozi Mteule wa Tanzania nchini Indonesia Balozi Makocha Tembele, leo Septemba 13, 2022, amewasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais wa nchi hiyo Joko Widodo katika hafla iliyofanyika kwenye Kasri la Mederka mjini Jakarta. Hatua hii inaashiria kuanza rasmi kwa kipindi cha Uwakilishi wa Balozi Tembele nchini Indonesia.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages