Afisa Uuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) John Juma akimpima wingi wa damu Msaidizi wa Afya Daraja la Pili. Sikudhani Simbeye wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa zoezi la kuchangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mtoa huduma huyo aliweza kusema kwa kuiomba Jamiii kuzidi kuwa na Utamaduni wa kujitolea kuchangia Damu kwani damu hutapata mahalipengine kama hatutachangia au Watanzani hawajachangia na hatuwezi kupata damu ya ng'ombe, damu ya samaki nilazima tupate damu ya mtu tuokoe maisha ya mtu, ukichangia damu unakuwa umefanya kitu kizuri na umetoa Sadaka nzuri na jambo hili linatakiwa kufanywa mara kwa mara kwa kumalizia napenda kuiishukuru na kuipongeza Serikali inayoongozwa na Rais Samia kwa sababa vitu naona vinaendelea na huduma zinazidi kuimarika naomba wazidi kuendelea zaidi kuboresha maatimamu ya Afya.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na ndugu wa wagonjwa wakichangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es SalaamWafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakichangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakichangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakichangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Afisa Uuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) John Juma akimpima wingi wa damu Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delila Kimambo wakati zoezi la kuchangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) wakiongozwa na Prof. Mohamed Janabi kuchangia damu kwa ajili ya watoto
wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) wakiongozwa na Prof. Mohamed Janabi kuchangia damu kwa ajili ya watoto
wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo.
Afisa Uuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu
Salama (NBTS) Salma Jumanne akimtoa damu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi wakati wa zoezi lililofanyika
leo la uchangiaji damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika
Taasisi hiyo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇