LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 15, 2022

VIONGOZI WA DINI, MBUNGE WAUNGANA NA RAIS SAMIA KAMPENI YA UHAMASISHAJI SENSA+video

Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma pamoja na Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Wafanyakazi wamefanya mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Agosti 15,2022, kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika Kampeni ya Uhamasishaji Sensa ya Watu na Makazi inayotarajia kiufanyika Agosti 23 nchini.Kutoka kushoto ni; Katibu wa BAKWATA Mkoa wa Dodoma, Hussein Kuzungu,Mwenyekiti wa Maridhiano Mkoa wa Dodoma, Askofu Dkt Evance Chande, Mbunge wa Viti Maalumu Mwakilishi wa Wafanyakazi, Dkt. Alice Kaijage, Nurdin Mohamed kutoka Baraza la Mashehe BAKWATA wilaya Dodoma na Mchungaji John Salenge.
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia kundi la Wafanyakazi, Dkt Alice Kaijage (katikati) akitoa wito kwa watanzania na wafanyakazi wote kushiriki vyema katika sensa ya watu na makazi.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria mkutano huo.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, viongozi hao wa dini na mbunge wakielezea umuhimu wa sensa....


 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages