LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 22, 2022

SENSA YA WATU NA MAKAZI: KATIBU MTENDAJI BARAZA LA USHAURI WATUMIAJI HUDUMA ZA USAFIRI WA ANGA TCAA-CCC YUKO TAYARI KUHESABIWA

Zikiwa imebaki siku moja kufikia like jambo letu la KITAIFA, yaani SENSA ya Watu na Makazi linalotarajiwa kufanyika nchini more Agosti 23, 2022, Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga. TCAA-CCC, Bwana Innocent Kyara yeye yuko tayari kuhesabiwa na kutoa wito kwa wanajumuiya wote wa Baraza na Watanzania kwa ujumla kushiriki katika zoezi hilo muhimu kwa maslahi mapana ya Taifa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages