LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 18, 2022

RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI KIKAO UWASILISHAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU


Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akijadiliana jambo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  katika kikao  cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa JMT ofisini kwake na timu ya watendaji wa Mkoa Dar es Salaam na Halmashauri ya Kinondoni wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya Ndg GodwinGondwe. Ushirikiano ndiyo nguzo #KaziInaendelea #SSH





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages