Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo
cha Ufundi Stadi (VETA) Wilayani Mbarali katika hafla fupi iliyofanyika
Ubaruku, Rujewa Mkoani Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Ubaruku, Mbarali
mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)
Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇