Mkurugenzi wa Urasimishaji wa Ardhi na Biashara wa Mpango wa Kurasimisha Ardhi na Biashara za Wanyonge Tanzania ( MKURABITA ), Jane Lyimo akitoa wito kwa wananchi kwenda kwenye Banda la MKURABITA katika Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane Kanda ya Kati Dodoma kupata maelezo mbalimbali ya jinsi ya kunufaika na urasimishaji huo katika sekta ya kilimo na biashara.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Jane Lyimo akiwakaribisha wananchi kwenye banda lao.... IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇