Musoma Vijijini - Kampeni ya kuhamasisha ushiriki wa kuhesabiwa kwa asilimia moja (100%) imefanikiwa sana.
Wanavijiji wa Jimbo letu wakiwemo wale wa visiwani wamehamasika sana na wanakubali sana kuhesabiwa.
Wakati wa kampeni zetu, wananchi walipewa fursa ya kuuliza maswali ambayo yalifanunuliwa na Viongozi mbalimbali.
Tafadhali wasikilize wanavijiji kwenye CLIPS/VIDEO mbili (2) zilizoambatanishwa hapa.
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
Tarehe:
Jumapili, 21.8.2022
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇