LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 4, 2022

MKURABITA KUANZA URASIMISHAJI WAKULIMA WA ZAO LA ALIZETI DODOMA, SINGIDA+video


 
Mkurugenzi wa Urasimishaji Ardhi na Biashara wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Jane Lyimo ametangaza mpango wa kurasimisha wakulima wa zao la alizeti katika mikoa ya Dodoma na Singida ili kuongeza tija ya zao hilo. Ametangaza mkakati huo Agosti 3,2022 katika banda la MKURABITA kwenye Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane ya Kanda ya Kati yanayoendelea Nzuguni jijini Dodoma.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Jane Lyimo akielezea mpango mkakati huo wa kulikuza zao la alizeti kwa njia ya urasimishaji mashamba.....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages