LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 23, 2022

MAFURIKO YAUA WATU 40 KASKAZINI MWA INDIA, WENGINE KADHAA HAWAJULIKANI WALIPO

Hyderabad, India
Taarifa ya serikali imesema kwamba karibu watu 36 waethibitishwa kufariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi katika eneo la Himalaya, jimbo la Himachal Pradesh, katika muda wa siku tatu.

Watu wanne wamefariki katika jimbo la Uttarakhand, na 13 wengine hawajulikani walipo baada ya mito kuvunja kingo na maji kuingia kwenye makaazi ya wat una kusababisha uharibifu mkubwa.

Watu wakipitia barabara iliyofurika maji kutoka kwenye mto Musi baada ya mvua kubwa kunyesha eneo la Hyderabad, India. Jumatano July 27, 2022. (Picha AP /Mahesh Kumar A.)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages