LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 1, 2022

DUWASA YAWAKARIBISHA WANANCHI KUHUDUMIWA MAONESHO YA NANE NANE DODOMA+video

 


Baadhi ya wateja wakihudumiwa na Leila Jumanne wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) katika banda la mamlaka hiyo kwenye viwanja vya Maonesho ya Nane Nane, Nzuguni, Dodoma.


PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
 

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Edwin Mwijage akielezea jinsi mamlaka hiyo ilivyojipanga kuwahudumia wateja wao katika Banda lao lililopo katika Maonesho ya Kilimo Nane Nane Kanda ya Kati Nzuguni Dodoma, ambapo amewakaribisha wananchi kwenda kwenye banda hilo kuhudumiwa.....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages