LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 5, 2022

DKT MWASAGA ASISITIZA KUTUMIA MIFUMO YA TEHAMA KUNADI LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI+video


Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Tehama Tanzania, Dkt Nkundwe Mwasaga ametoa wito kwa watanzania kubuni mufumo ya tehama na kuitumia kuuza lugha ya kiswahili duniani kwa sababu ni bidhaa pekee adhimu tuliyonayo.

Aidha, Dkt Mwasaga akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Agosti 5, 2022 katika mikutano inayoratibiwa na Idara ya Habari-MAELEZO amesema kwa hivi sasa Tanzania ina soko kubwa la Tehama katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa wito kwa vijana watanzania kuwa wabunifu wa mifumo ya tehama na kumsifu kijana wa kitanzania Magila ambaye amebuni mfumo wa usalama wa mitandao...

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwasaga na Msigwa wakielezea mafanikio hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages