LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 28, 2022

ZAIDI YA MAKARANI WA SENSA 200, 000 KUANZA MAFUNZO JUMAPILI JULAI 31+video



Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt Albina Chuwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma  Julai 28, 2022 kuhusu kuanza kwa mafunzo kwa makarani wa sensa wa maudhui na tehema 205,000 Julai 31, 2022.

Baadhi ya maafisa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na wanahabari wakiwa katika mkutano huo.

PICHA NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Chuwa akielezea kuhusu mafunzo hayo....


 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages