LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 25, 2022

WANAJESHI WASTAAFU, WANANCHI WAMPONGEZA RAIS KUAGIZA MNARA WA MASHUJAA WENYE HADHI KUJENGWA DODOMA+video


 Baadhi ya askari wastaafu na waliopo kazini pamoja na wananchi wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza litafutwe eneo kubwa patkapojengwa Mnara wa Mashujaa wenye hadhi ya Makao Makuu ya Taifa Mkoanni Dodoma.

Pongezi hizo zimetolewa wakati wa maadhimisho hayo kwenye Manara wa Mashujaa jijini Dodoma Julai 25, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, wakitoa pongezi hizo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages