LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 31, 2022

UZINDUZI KAMPENI YA KUHAMASISHA SENSA WAFANA MUSOMA VIJIJINI



JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - UZINDUZI WA KAMPENI YA KUHAMASISHA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Jana, Jumamosi, 30.7.2022, Kamati ya Sensa


ya Halmashauri yetu ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe DC Khalifan Haule, ilizindua Kampeni hiyo.

Uzinduzi ulifanyika kwenye Kijiji cha Busekera, Kata ya Bukumi.

Vikundi vya Uhamasishazi na Burudani vilikuwa vifuatavyo:

*Kwaya ya Bugoji
*Kwaya ya Kiriba

Ngoma za Asili zilikuwa:
*Lirandi Bugwema
*Kiwanjuki Kiriba
*Mbegete Nyakatende

*Mtelezo Dance Show Nyakatende

Tafadhali sikiliza TAARIFA ya HABARI ns baadhi ya Vikundi vyetu vya UHAMASISHAJI - viambatanisho vilivyoko hapa.

Kampeni hiyo imeanza jana (30.7.2022) na itahitimishwa tarehe 22.8.2022

LENGO KUU:
100% ya Wakazi na Wageni wa Vijiji vyote 68 vya Jimbo letu wahesabiwe tarehe 23.8.2022

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

Tarehe:
Jumamosi, 31.7.2022









 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages