LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 30, 2022

TAASISI YA DORIS MOLLEL YAMKABIDHI RIDHIWANI KIKWETE MSAADA WA VIFAA TIBA

Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akipokea msaada toka Taasisi ya #DorisMollel ambayo imechangia vifaa tiba vyenye thamani ya Shilingi Milioni 12 kwa hispitali ya Wilaya Chalinze kusaidia watoto wachanga wenye shida ya kupumua. Kwa niaba ya Wana-Chalinze , tunawashukuru sana. #KaziInaendelea #SSH







 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages