LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 10, 2022

TAASISI TA JAI WATOA MSAADA WA CHAKULA TAASISI YA MOYO {JKCI) DAR ES SALAAM

Mjumbe kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul Akhlaaqul Islam (JAI) Said Khamisi akimpatia chakula mgonjwa aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Omary Omary ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo Julai 10, 2022 katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kiongozi wa zamu wodi namba moja Cecilia Njawike. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSS)
Mjumbe kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul Akhlaaqul Islam (JAI) Said Khamisi akimpatia chakula mgonjwa aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Joyce Tufanyenini ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam
  Baadhi ya wawakilishi kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul Akhlaaqul Islam (JAI) wakiongozwa na mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mwidini Athumani (mwenye koti jeusi) kushusha chakula, maji na juisi kwa ajili ya kuwapatia wagonjwa waliolazwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam
 Mjumbe kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul Akhlaaqul Islam (JAI) Hamisi Ramadhani akimpatia chakula mgonjwa aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo Mwajabu Juma ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam
  Mjumbe kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul Akhlaaqul Islam (JAI) Said Khamisi akishirikiana na Muuguzi Kiongozi wa zamu Prisca Kiyuka kumpatia chakula na juisi mgonjwa aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Silver Omary ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages