LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 29, 2022

MAKAMU MWENYEKITI WA BARAZA LA WADHAMINI WA CCM, MZEE KIFICHO ATEMBELEA MIRADI YA CCM WILAYA YA NEWALA

Makamu Mweneyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Chama Cha Mapinduzi, Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho leo ametembelea miradi ya maendeleo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Newala mkoani Mtwara akiwa katika ziara ya kikazo wilayani humo, leo. Pichani, Pandu akiwa na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sektretarieti ya CCM Wilaya ya Newala baada ya kukagua miradi hiyo. Picha ya juu, Kushoto ni Katibu wa CCM Newala Ndugu Sophia Lipenye. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Newala Alhaj Rajab Kundya na Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya hiyo ya Newala Ndugu Aminata Mambia.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages