LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 26, 2022

SIKU YA MASHUJAA MKOA WA PWANI JANA

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge ameongoza wananchi, viongozi wa dini, Viongozi wa Chama na Serikali katika ibada maalumu ya maadhimisho ya kuwakumbuka mashujaa mbalimbali wa nchi yetu.


Ambapo maadhimisho hayo ya kuwakumbuka mashujaa kimkoa yametanguliwa na Zoezi la Viongozi hao na kufanya usafi katika kituo Cha afya cha mkoani wilayani Kibaha.


Kunenge kwenye mnara wa mashujaa uliopo katika kiwanja Cha ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo kibaha mailmoja aliweka siraha za kijadi ikiwa ni pamoja na ngao na mkuki ikiwa ni kumbukumbu ya maadhimisho ya siku ya mashujaa kimkoa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages