WAVUVI wa Jimbo la Musoma Vijijini wanaendelea KUUNDA VIKUNDI vya UVUVI ikiwa ni njia mojawapo ya kuboresha upatikanaji wa NYENZO za UVUVI kwa kutumia MIKOPO au UFADHILI mwingine utakaopatikana.
VYAMA vya USHIRIKA vya WAVUVI vilivyokwishasajiliwa na Halmashauri yetu (Musoma DC) ni:
1. Kome Fisheries Cooperative Ltd
2. Kasoma Fisheries Cooperative Ltd
3. Bwaikumsoma Fisheries Cooperative Ltd
4. Busumi Fisheries Cooperative Ltd
5. Kurukiri Fisheries Cooperative Ltd
VIKUNDI vinavyokamilisha usajili ni kutoka:
6. Kijiji cha Busamba - Kikundi cha Kurwera
VIKUNDI vingine vinavyokamilisha usajili viko kwenye Visiwa vyetu vya:
7. Kisiwa cha Rukuba
8. Kisiwa cha Kagongo
9. Kisiwa cha Muloba
10. Kisiwa cha Nyasaungu
BAJETI ya Mwaka 2022/2023 imeweka mkazo kwenye UVUVI wa VIZIMBA (CAGE FISH FARMING).
WAVUVI wa MUSOMA VIJIJINI wako tayari kuanza uvuvi wa vizimba (cage fish farming).
*Usisahau kutembelea TOVUTI ya Jimbo letu ambayo ni:
www.musomavijijini.or.tz
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
Tarehe:
Ijumaa, 22.7.2022
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇