LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 17, 2022

RIDHIWANI KIKWETE AMKABIDHI DKT MPANGO HATI 4 ZA MILKI YA ARDHI HOSPITALI YA KIBONG'OTO


Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akikabidhi Hati Nne za Milki ya Ardhi kwa Hospitali ya Kibong’oto mbele ya Dkt. Philip  Mpango , Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania , Julai 16, 2022 wakati wa Uzinduzi wa Maabara ya Jamii Hospitali hapo. Mpango wa matumizi ya Ardhi kwa ajili ya Hospitali hiyo umeandaliwa pia.






 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages