LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 23, 2022

RAIS SAMIA LIPOKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI MPYA WA EAC, RAIS WA BURUDI, IKULU JIJINI ARUSHA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye alipowasili Ikulu ndogo ya Arusha leo, tarehe 23 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye alipowasili Ikulu ndogo ya Arusha leo, tarehe 23 Julai, 2022.
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages