LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 7, 2022

NURU MAGEGE ARUDISHA FOMU KUTETEA UENYEKITI WAZAZI KIBAHA MJINI

 

Pichani ni Katibu wa Umoja wa Wazazi Wilaya ya Kibaha Mjini, ndugu Sharlon Tuli (kulia) akipokea fomu kutoka kwa ndugu Nuru Magege anayetetea nafasi yake ya Uenyekiti wa Wazazi wilaya hiyo




Na Dismas Lyassa, Kibaha


MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Kibaha Mjini ndugu Nuru Msadala Magege amerudisha fomu kutetea nafasi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano (2022-2027).

Nuru amechukua uamuzi huo ili kuendelea kuitumia jumuiya hiyo yenye wanachama wengi katika wilaya hiyo.








No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages