LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 21, 2022

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AANZA ZIARA YA KIKAZI KATAVI, LEO

 

   

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarahe 21 Julai 2022 akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku nne mkoani humo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages