Mbunge wa Jimbo la Lupa, Chunya mkoani Mbeya, Masache Kasaka akielezea kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa na itakayotekelezwa katika jimbo lake baada ya Bajeti Kuu ya Serikali kupitishwa.
Kasaka ameyazungumza hayo baada ya kumalizika kwa Bunge la Bajeti katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 30, 2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kasaka akielezea mafanikio makubwa ya Bajeti hii inavyokwenda kuwanufaisha wananchi wa jimbo hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇