Mbunge wa Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo ameahidi kufanya ziara kila kijiji katika Jimbo hilo kuwaelezea wananchi mambo ya manufaa kwao yaliyomo kwenye Bajeti iliyopitishwa mwaka huu.
Ameyasema hayo na mengine kwenye viwanja vya Bunge Dodoma mara baada ya Bunge la Bajeti kumalizika Juni 30,2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ighondo akitoa ahadi hiyo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇