LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 25, 2022

DUWASA YATANGAZA MPANGO MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI DODOMA+video




 Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Aron Joseph akielezea katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Julai 25, 2022 kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali katika mkoa huo ambao ni Makao Makuu ya Nchi.

Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo uluiofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO, jijini Dodoma.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,  Aron akielezea kuhusu  utekelezaji wa miradi hiyo, huku Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akielezea utekelezaji wa miradi ya maji kitaifa ....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages