Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Dkt John Pallangyo amesema kuwa Bajeti ya mwaka huu ni nzuri itamkomboa Mtanzania.
Aidha, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan na serikali anayoiongoza kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika jimbo hilo. Ameyasema hayo kwenye viwanja vya Bunge juni 30, 2022 mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa Bajeti Kuu bungeni Dodoma.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Pallangyo akitoa pongezi hizo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇