LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 30, 2022

BALOZI DK. NCHIMBI AHIMIZA WATANZANIA KUCHANGAMKIA SOKO LA KOROSHO NA VIUNGO (SPICES) MISRI, ASEMA KUNA SOKO NONO.

Balozi wa Tanzania Nchini Misri Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema nchini humo kuna soko kubwa la Korosho na bidhaa za viungo (spices) na hivyo kutoa rai kwa Watanzania kulichangamkia soko hilo.

"Hapa Misri kuna soko kubwa la korosho na bidhaa za viungo ambalo bado hatujalitumia vizuri, hali ambayo imesababisha Watanzania wengi kutapeliwa na Kampuni zisiotambulika.

Rai yangu, Watanzania wazitumie zaidi Ofisi za Balozi, sisi tupo kuwatumikia wao kwenye hili ni wajibu wetu na tunalipwa mshahara kwa ajili ya hili". amesema Balozi Dk. Nchimbi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages