LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 14, 2022

WAZIRI WA FEDHA AKIWASILISHA BUNGENI BAJETI KUU YA SERIKALI 2022/2023

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akionesha mkoba wenye Bajeti Kuu ya Serikali 2022/2023 alipokuwa akiingia kuiwasilisha bungeni Dodoma Juni 14, 2022.
Msafara wa Waziri ukiingia viwanja vya Bunge.


Waziri akionesha mkoba alipokuwa akiingia bungeni.
Waziri akitoa kitabu cha bajeti kwenye mkoba.
Waziri akionesha kitabu cha Bajeti bungeni kabla ya kuanza kuiwasilisha.

Wageni mbalimbali walioalikwa wakisikiliza uwasilishaji wa Bajeti.






 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages