LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 5, 2022

UCHAGUZI MKUU YANGA KUFANYIKA JULAI 10 DAR



UCHAGUZI Mkuu wa klabu ya Yanga utafanyika Julai 10, mwaka huu Jijini Dar es Salaam. 

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo, Wakili Malangwe Mchungahela amesema kwamba Matawi yote yanatakiwa kuwa yamekamilisha chaguzi zake ndani ya wiki mbili.




No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages