LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 17, 2022

SILLO SHAURI TRA KUWA NA MIFUMO INAYOSOMANA ILI KURAHISISHA UKUSANYAJI WA KODI

 Mbunge wa Babati Vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Daniel Sillo  ametoa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta Bajeti yenye maono makubwa, lakini pia ameishauri serikali kuiwezesha Mamlaka ya Mapato Tanzania kuweka mifumo inayosomana ili kurahisisha ukusanyaji wa kodi nchini.

Ametoa pongezi na ushauri huo alipokuwa akichangia maoni yake  mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali bungeni Dodoma Juni 17, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Sillo akitoa ushauri wake huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages